Mbunge Cup wilaya ya Makete
Mwakilishi wa Mbunge jimbo la Makete Felix Kyando kwa Niaba ya Mbunge Mh.Norman Sigalla King amegawa vifaa vya Michezo kwa timu za kata zinazoshiriki Ligi ya Mbunge Cup
Vifaa hivyo ni Jezi moja na mpira kwa kila tumu inayoshiriki Ligi hiyo,ambapo kuna baadhi ya Timu hazijashiriki kwa kutofika kabisa kwenye Ligi hiyo
Timu hizo ni Matamba,Mlondwe na Kigulu huku taarifa rasmi za timu hizo kutofika kwenye Mashindano hayo hazijulikani
Mashindano haya yalianza Kutimua Vumbi jumamosi ya wiki iliyopita ya tarehe 24 September 2016 katika Mji mdogo wa Iwawa na ni viwanja viwili vinavyotumika,uwanja wa Kabinda na Uwanja wa Iwawa shule ya Msingi
Jumanne, 27 Septemba 2016
MAKETE MBUNGE CUP
Jumatatu, 26 Septemba 2016
Mtani na mtani wapambana
DAR DERBY NA JOTO LAKE ....
Wachezaji wafuatao ni wageni kabisa katika mpambano huo wa kihistoria uliodumu mjini kwa takribani miongo minane . Wakipata nafasi wanaweza visaidia vikosi vyao ?
Simba SC
1. Jamali Mnyate
2. Shiza Kichuya
3. Laudit Mavugo
4. Blagnon
5. Bokungu
6. Mwanjali
7. Mohamed Ibrahim
8. Mzamiru Yassin
9. Malika Ndeule
10. Hamadi Juma
11. Mussa Ndusha
Yanga SC
1. Beno Kakolanya
2. Andrew Vicent
3. Obrey Chirwa
4. Juma Mahadhi
5. Yusufu Mhilu
Hawa ndio wachezaji ambao hawajawahi kuicheza Derby hii katika vilabu vyote viwili.
TANGAZO LA SHULE YA SEKONDARI ITAMBA
KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA,
DAYOSISI YA KUSIN MAGHARIBI.
NAFASI ZA MASOMO.
MAOMBI YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA NA KWA WANAOHAMIA PAMOJA NA WANAO RUDIA MITIHANI 2017 PIA ZIPO NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA TANO KWA MICHEPUO YA SANAA NA SAYANSI.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
SHULE YA SEKONDARI ITAMBA
S.L.P 48, CHIMALA - MBEYA.
mawasiliano:- 0754239280/0754913034/0768034396
Website: itambasecondaryschool.ac.tz
***************************************
Shule ya Sekondari ya Itamba inapatikana Mkoa wa Njombe katika Wilaya ya Makete Tarafa ya MATAMBA karibu na Mbuga ya KITULO.
**************
Malengo ya shule ni Kumwanda Mwanafunzi KITAALUMA, KIROHO, na na kimwil kwa Taifa.
Shule inahuduma zote zinazohitajika kwa mwanafunzi
Hivyo tunawakaribisha Wazazi na Walezi kuwaleta watoto wenu wajiunge nasi kwa Maendeleo mazuri ya mwanao kimasomo.
AHSANTE TUPIGIE KWA MAWASILIANO HAYO HAPO JUU UTAPATA UTARATIBU WA KUJIUNGA NA ITAMBA SEKONDARI.